Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na waumini katika Sala ya Ijumaa Masjid Noor Kombeni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)  akisalimiana na Waumini wa  shehia ya Kombeni  baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)  akiagana na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Waumini mbali mbali waki  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa nasaha zake  mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) na Waumini wakiitikia dua iliyoombwa na  Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa tatu kulia) baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa Waumini wa mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi  leo.[Picha na Ikulu] 03/11/2023.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.