Habari za Punde

Rais Samia akutana na kuzungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Yahya Ahmed Okesh, Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud uliowasilishwa na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okesh mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha  Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud         Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.