Habari za Punde

Wanafunzi waliofaulu vizuri katika mitihani yao wazawadiwa Pemba

Wanafunzi wa Kidato cha 4 na 6 wanaume na wanawake waliofaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa wakiwa katika hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi jana  katika viwanja vya Ikulu ya Pagali Pemba .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.

Baadhi wa Walimu wa Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za kidato cha NNe na SITA Kisiwani Pemba walioshiriki katika hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi jana  katika viwanja vya Ikulu ya Pagali Pemba .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza  na Viongozi,Walimu na Wanafunzi katika hafla ya Chakula cha Mchana alichowandalia Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za kidato cha NNe na SITA  waliofaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa jana  katika viwanja vya Ikulu ya Pagali Pemba .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.
Baadhi ya Wanafunzi wanawake wa waliofaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa kidato cha NNe na SITA  walioshiriki katika hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi jana  katika viwanja vya Ikulu ya Pagali Pemba .[Picha na Ikulu] 02/11/2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli mbali mbali waliofaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa kidato cha Nne na Sita katika hafla ya chakula walichoandaliwa Wanafunzi hao jana katika viwanja vya Ikulu ya Pagali Pemba .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.   
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.