RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake
Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams (kulia kwa Rais)
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
6-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Australia Nchini
Tanzania Mhe. Luke Williams, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Australia
Nchini Tanzania Mhe. Luke Williams, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-11-2023
No comments:
Post a Comment