Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amekutana na Ujumbe Chama cha Wajane Afrika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika  (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma akiwa na Wajumbe wa Jumuiya ya Wajane  Zanzibar (ZAWIO) katika mazungumzo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu maandalizi ya kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa  Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wajane Tanzania (TAWIA) Ndg.Rose Sarwart na Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane  Zanzibar (ZAWIO) Ndg.Tabia Makame wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipoungana na  Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika  (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi Ikulu Jijini Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.