Habari za Punde

Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Wapingwa Msasa

Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa mada ya Emotional Intelligence (EI) kwa watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati wa jumuiko maalum la watumishi wa Tume lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Kutangazia Matokeo  wa Tume, Njedengwa Jijini Dodoma. (Picha na NEC). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.