Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Maeneo Yaliyoathirika kwa Mafuriko Katesh

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akikagua meneo yaliyoathika kwa mafuriko katika kijiji cha Gendabi wilayani Hanang, Disemba 4, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua meneo yaliyoathika kwa mafuriko katika kijiji cha Gendabi wilayani Hanang, Disemba 4, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua meneo yaliyoathika kwa mafuriko katika kijiji cha Gendabi wilayani Hanang, Disemba 4, 2023.

Muonekano wa mai wa Kateshi ambao baadhi ya mitra imejaa tope. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitemblea eneohilo Disemba 4, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.