Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Atoa Heshima za Mwisho kwa Waliofariki Dunia kwa Mafuriko Katesh

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho Disemba 04, 2023 kwa miili ya Watu waliofariki dunia katika maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo la Katesh Mkoani Manyara

aziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho Disemba 04, 2023 kwa miili ya watu waliofariki dunia katika maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo la Katesh Mkoani Manyara

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.