Mkuu wa Chuo cha City College of Health -Ilala Campus Nurdin Mwasha akimkabidhi zawadi ya shilingi 200,000/- mchezaji bora mwenye nidhamu katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024,kutoka Timu ya JKU Adam Abdallah, katika mchezo huo uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.
Katika mchezo huo Timu ya Simba imeshinda kwa bao 3-1.
No comments:
Post a Comment