Habari za Punde

Mchezaji wa Timu ya Yanga Ashinda Mchezaji Mwenye Nidhamu Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024. Dhidi ya Timu ya Jamus Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Yanga Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 2-1

Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha City College Ilala Dar es Salaam Ndg. Shabani akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji mwenye nidhamu katika Mchezo wa Mapinduzi Cup 2023/2024 kutoka Timu ya Yanga wakati wa mchezo wao na Timu ya Jamus mchezo huo Timu ya Yanga imeshinda bao 2-1, uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.