Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapoinduzi Cup 2023/2024 Kati ya Simba na APR.FC Mchhezo Unaofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Usiku Huu

Mshambuliaji wa Timu ya Simba akijiandaa kumpita beki wa Timu ya APF.FC wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, hadi sasa kupindi cha pili kikiendelera Timu hizo bado kufunganga ikiwa ni Dakika ya 69 ya mchezo huo kipindi cha pili.  

 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.