RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Dk.Ali Mohammed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya kujumuika
na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari maalum aliyowaandali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi tende kwa ajili ya kufutari,baada ya kumaliza Ibada ya
Sala ya Magharibi na kujumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika
futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohammed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohammed
Shein Suza Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohammed
Shein Suza Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa futari maalum aliyowaandalia
katika ukumbi wa Dk.Ali Mohammed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa
Mkoa wa Kusini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali
Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini
Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohammed Shein SUZA Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika
na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu
wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa futari maalum
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika katika
ukumbi wa Dk.Ali Mohammed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia
kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said na Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makaazi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim
Ali

Ali.
No comments:
Post a Comment