RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu
wa Umoja wa Vijana Tanzania (UVCCM)Ndg.Sukwa Said Sukwa alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa pole leo 16-3-2024, kufuatia kifo cha
Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili
Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Ndg. Sukwa Said
Sukwa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Tanzania (UVCCM) alipofika
Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya
kutowa mkono wa pole, kufuatilia kifo cha Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja
wa Vijana Tanzania Ndg.Sukwa Said Sukwa, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
ajili ya kutowa mkono wa pole kufuatila kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi
No comments:
Post a Comment