Habari za Punde

UWT WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KISHINDO CHA MIAKA MITATU

 

Katibu wa Idara ya Oganazesheni CCM Ndg. Issa Gav akizungumza Katika Kongamano la Kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (2020-2025) kishindo cha Miaka Mitatu ya Uongozi wake.


Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganazesheni CCM Ndg. Issa Gavu wakimkabidhi fedha Shilingi Milioni Mbili kwa ajili ya Kuchukulia fomu ya Kugombea Urais 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan
Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganazesheni CCM Ndg. Issa Gavu Nishani ya Pongezi ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (2020-2025) kishindo cha Miaka Mitatu ya Uongozi wake.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.