Habari za Punde

Mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanya mazoezi ya viungo baada ya kushiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya ushiriki wa mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, kutoka kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa zawadi watoto wenye tatizo la usonji waliyoshiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.