Habari za Punde

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Msemaji   wa Serikali Mobhare Matinyi (kulia) alipotembelea mabanda ya maonesho akiwa mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duaniani kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Aprili 3, 2024. Kushoto ni Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Baraza la Habari Tanzania, Ernest Sungura alipotembelea mabanda ya Maonesho akiwa mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duaniani kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma , Aprili 3, 2024. Katikati ni Afisa wa Baraza hilo, Saumu Mwalimu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipoingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete  jijini Dodoma   kuwaitiske mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duaniani, Aprili 3, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (wa pili kulia) na Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi alipoingia kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duaniani, Aprili 3, 2024. Katikati ni Afisa wa Baraza hilo, Saumu Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia kwake) wakiiimba wimbo wa Taifa katika  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duaniani, kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na  kulia ni Naibu Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, MaryPriska Mahundi, kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Zlatan Milisk na wa pili kulia ni rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari, Deogratius Nsokolo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza akiwa mgeni rasmi  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Aprili 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.