Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 14.2 ya gawio la biashara
ya kaboni kwa ajili ya Halmashauri ya Tanganyika wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya
Kikwete Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na viongozi mbalimbali akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2024.
No comments:
Post a Comment