Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kufanya Mazungumzo na Rais wa KOICA Nchini Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024 ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.