Habari za Punde

Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari Maelezo akabidhiwa Ofisi


Mkurugenzi Mpya wa Idara ya Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla Shaabani akikabidhiwa nyaraka za Ofisi  na aliekua Kaimu wa Idara hio Asha Juma Abdalla katika hafla ya makabidhiano iliofanyika katika Ofisi za Habari Maelezo  Rahaleo Zanzibar.

 Mkurugenzi Mpya wa Idara ya Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla Shaabani akizungumza na kamati ya Uongozi wa Idara hio katika hafla ya makabidhiano iliofanyika katika Ofisi za Habari Maelezo  Rahaleo Zanzibar.


PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.30/09/2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.