RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu iliyotolewa na Wananchi wa Masjid Rabia Ayytul
Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akikabidhiwa na Mlezi wa Masjid hiyo
Sheikh.Ahmed Mansour Nassor.(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya
Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika masjid hiyo leo 27-9-2024.
WAUMINI
wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na
kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 27-9-2024.
WAUMINI
wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na
kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 27-9-2024
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora
Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya
Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 27-9-2024.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kijiji cha Kisauni, baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul
Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 27-9-2024
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kijiji cha Kisauni, baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul
Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 27-9-2024.

RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Mwananchi wa Kijiji cha Kisauni, baada ya kumalizika kwa Ibada
ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 27-9-2024.
No comments:
Post a Comment