Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akionesha vitabu vya
mazingira vilivyoandikwa na mtoto wa kitanzania Georgina Magesa wakati akizungumza Watanzania wanaoshiriki Mkutano
wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza
na Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja
wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa
Baku nchini Azerbaijan.
Sehemu
ya Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja
wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa
Baku nchini Azerbaijan wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Mhandisi Cyprian Luhemeja (hayupo pichani) alipokutana na kuzungumza nao katika
banda la Tanzania.
Sehemu ya Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (hayupo pichani) alipokutana na kuzungumza nao katika banda la Tanzania.
No comments:
Post a Comment