Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Naibu Kiongozi Mkuu wa USAID Mjini Iowa Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Kiongozi Mkuu wa USAID Bi. Isobel Coleman leo tarehe 31 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.