Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Mkutano wa Dharura wa SADC Zimbabwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuwakilisha Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakati Rais wa Zimbabwe Emmerson Dambudzo Mnangagwa  ambae kwa sasa ni  Mwenyekiti wa SADC alipofunga Mkutano wa Viongozi Wakuu na Serikali wa  Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika Bunge la Zimbabwe Jijini Harare.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.