RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Viongozi wa Dini alipowasili
katika viwanja vya Msikiti wa Ijumaa Mbalungini Pitanazako, kwa ajili ya
ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyya (S.A.W) Mbalungini, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 13-12-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokelewa kwa zikiri maalum
iliyoandaliwa kwa ajili ya Ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyy (S.A.W)
katika kijiji cha Mbalungini Pitanazako Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huo
uliofanyika leo 13-12-2024, kabla ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo.
No comments:
Post a Comment