RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Mkapa Foundation (BMF) Balozi Liberata Mulamula
alipowasili katika viwanja jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya uzinduzi wa Bodi mpya wa Taasisi hiyo (kulia kwake) Mama Anna Mkapa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation
(MBF) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mama Anna Mkapa alipowasili katika
viwanja vya Ofisi ya Taasisi hiyo Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya uzinduzi
wa Bodi mpya wa Taasisi hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuizundua Bodi Mpya ya Taasisi ya
Benjam William Mkapa Foundation (BMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi
wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam leo 14-12-2024, na
(kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (BMF) Balozi Liberata
Mulamula na (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dr.Ellen M .Senkoro.
No comments:
Post a Comment