Habari za Punde

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.