Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe
Maalum wa Rais wa
Djibouti Mhe. Ismail
Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mahmoud
Ali Youssouf mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23
Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe Maalum
kutoka kwa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh uliowasilishwa
kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti Mhe. Mahmoud Ali Youssouf mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.
No comments:
Post a Comment