Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza
la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Januari,
2025.
MANERUMANGO MABINGWA JAFO CUP 2024-25
-
Na Khadija Kalili, Michuzi TV
TIMU ya Tarafa ya Manerumango 'Mango' yenye Maskani yake Manerumango
Wilayani Kisarawe wameibua kuwa mabingwa katika fain...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment