RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Nyumba Zanzibar Sultan Said Suleiman akitowa maelezo ya kitalamu ya ujenzi
wa nyumba 72 za Shirika hilo zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka
61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar,
ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu wa
Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakitembelea moja ya Nyumba za Shirika la Nyumba Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe
la Msingi wa ufunguzi wa nyumba 72 za Makaazi na Biashara, zilizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa
ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya kuwe Jiwe la Msingi la ufunguzi Nyumba
72 za Shirika la Nyumba Zanzibar,ziliizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la
Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
BAADHI wa Mawaziri na Wageni waalikwa
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika hafla
ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar,
zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,
ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la
Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa
katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Said Hamad Ramadhani, ni
mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka
61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na
(kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo
ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Shinuna Salim Said,
mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka
61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na
(kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo
ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali, uliyofanyika. 3-1-2025.
No comments:
Post a Comment