MUONEKANO wa Jengo Jipya la Tawi la Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Mpendae Juu, Jimbo la Mpendae Zanzibar lililofunguliwa na
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na
Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, alipowasili katika viwanja
vya Tawi jipya la CCM Mpendae Juu, Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi
wa Tawi hilo uliyofanyika 17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mpendae Juu Ndg.
Hussein Mussa Hussein,baada ya kumkabidhi ufunguo wa Gari iliyotolewa na Mbunge
na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo
Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu uliyofanyika 17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Katibu wa Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya
ya Mjini Unguja Ndg.Abdallah Mohammed Kundekuwa, baada ya kumkabidhi ufunguo wa
Gari iliyotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati
wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu uliyofanyika
17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Jengo
Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi wa
uliyofanyika 17-5-2025

Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae
Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025 na (kushoto kwa
Rais) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Mbunge wa
Jimbo la Mpendae Mhe.Toufiq Salim Turky na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tawi
la CCM Mpendae Juu, Ndg. Hussein Mussa Hussein na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussien Ali Mwinyi, akitembelea jengo jipya la Tawi CCM Mpendae Juu
baada ya kulifungua 17-5-2025.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.
Toufiq Salim Turky,akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza
na Wanachama wa CCM wa Jimbo la Mpendae, baada ya kulifungua jengo jipya la Tawi
wa CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanachama Wapya wa CCM kutoka Chama
Cha ACT-Wazalendo Ndg. Halima Abass Mohammed na Hamadi Mbarouk Juma, wakati wa
hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Jimbo la Mpendae
Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya
la Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja,
ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la
Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
ufunguzi wa jengo jipya la Tawi CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja.

No comments:
Post a Comment