Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh
Inatarajia kuadhimisha Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S. A. W) kwa Shughuli Mbalimbali ikiwemo:-
06 Septemba 2025 Usafi kwa Eneo la Kilimani na Uchangiaji wa Damu Salama
07 Septemba 2025 Kuwakagua Viongozi wa Dini ambao ni Wagonjwa na Kuzuru Makaburi
10 Seotemba 2025 Usiku wa Zamani ambao unajumuisha Kasida na Utamaduni wa Kiisalmu kwa Upande wa Zanzibar
11 Septemba 2025 Maonesho ya Watoto kwa Wazazi [Parents Day] kujua Taaluma inayopatikana Madrassa ya Swifat
12 Septemba 2025 Dua Maalum ya Kuiombea Nchi pamoja na Viongozi wakuu
13 Septemba 2025 Asubuhi
Maulid ya Mtume Muhammad (S. A. W) kwa Wanawake Pekee.
13 Septemba 2025
Usiku
Maulid ya Mtume Muhammad (S. A. W) kwa Wanaume saa Mbili Usiku
KARIBUNI TUUNGANE, TUMSIFU RASULI LLAH
No comments:
Post a Comment