Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo vya Habari leo Jumatatu Agosti 11, 2025 katika Ofisi Ndogo ya CCM Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar es Salaam,kuhusu harambee ya kuchangia kampeni za chama hicho itakayozinduliwa rasmi kesho katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Harambee hiyo inalenga kukusanya Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
TBL na PETPRO Wazindua Mfumo wa Kwanza Kitaifa wa Kuchakata Chupa za Kioo
Nchini Tanzania
-
Dar es Salaam, 13 Agosti 2025.
KAMPUNI ya Tanzania Breweries Plc (TBL) na PETPRO wameweka historia kwa
kusaini Hati ya Makubaliano (MOU) ya kuzindua mfum...
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment