Habari za Punde

AJALI YA MELI YA FATIH

WAFANYKAZI WA MSALABA MWEKUNDU WAKITAYARISHA MACHELA KW AJILI YA KUBEBEA MAJERUHI NA MAITI WA AJALI YA MELI YA FATIH BANDARI ZA ZINZIBAR USIKU WA 29-5-2009
FOKOLIFTI YA SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LIKIWA LIMEBEBA KOMPRESA KWA AJILI YA KUTUMIA KATIKA UOKOAJI WA ABIRIA

WALIONUSURIKA KATIKA AJALI YA MELI YA FATIH WAKIJIPATIA MSOSI KATIKA KITUO CHA POLISI
MCHUKUZI AMBAYE ALIKUWA KATIKA MELI FATIH AKICHUKUA MIZIGO IMEMKUTA AJALI HIYO AKIWA KATIKA MELI HIYO AKIONGOZWA NA ASKARI KAVAA KIRAIA KITUO CHA POLISI KUPATA HUDUMA YA KWANZA

MMOJA WAABIRIA WALIONUSHURIKA KATIOKA AJALI YA MELI AKIPATA HUDUMA YA KWANZA

MWANDISHI WA GAZETI LA ZANZIBAR LEO MWANTANGA AME AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA ABIRIA WLIONUSURIKA KATIKA AJILI YA MELI YA MV FATIH HUKU WAKIPATA MSOSI

BAADHI YA ABIRIA WA AJALI YA MELI YA FATIH WAKIWA KATIKA KITUO CHA POLISI BANDARI WAKISUBURI KUTOA MAELEZO

NAHODHA WA MELI YA FATIH AKIZUNGUMZA NA MWANDISI WA HABARI WA GAZETI LA ZANZIBAR LEO MWANTANGA AME ALIPOKUWA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA BANDARINI BAADA YA AJALI HIYO

AFISA WA SHIRIKA LA MELI ZANZIBAR AKIMUHOJI MMOJA WA ABIRIA WA MELI YA FATIH AMBAYE AMENUSURIKA NA AJALI HIYO AKIWA KITUO CHA POLISI BANDARINI BAADA YA KUOKOKA

MKUU WA KIKOSI CHA KMKM ZANZIBAR KOMODO KULIA NA MKUU WA JESHI ZANZIBAR BRIGEDIA GENERAL SALUM MSTAFA KIJUU NA MSHAURI WA WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA VIKOSI VYA SMZ MACHANO WAKIWA KATIKA TUKIO LA KUZAMA KWA MELI YA FATIH USIKU WA 29-5-2009 BANDARINI WAKIFUATILIA UOKOAJI WA ABIRIA

WANANCHI WALIOFIKA KUANGALIA JAMAA KATIKA AJALI YA MELI YA MV FATIH ILIYOZAMA KATIKA BANDARI YA ZANZIBAR IKITOKEA DAR -ES - SALAAM JUZI USIKU 29-5-2009

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.