Habari za Punde

MTIHANI WA AJALI


BAADHI YA MALI ZILIZOOKOLEWA KATIKA MELI ILIOZAMA KATIKA BANDARI YA ZANZIBAR IKITOKEA DAR-ES-SALAAM YAKIWA KATIKA BANDARI HIYO BAADA YA KUOKOLEWA

ASKARI WA KIKOSI CHA MBWA WAKIWA KATIKA GETI LA BANDARI YA MALINDI WAKIWA ZUIWA WANANCHI WASIINGIE BANDARI

MELI YA MV FATIH IKIWA IMEZAMA KATIKA BANDARI YA MALINDI IKIWA NA BAADHI YA ABIRIA NA MIZIGO IKITOKEA DAE-ES-SALAAM USIKU WA 29-5-2009
WANANCHI WALIOFIKA KATIKA BANDARI YA MALI KUANGALIA JAMAA ZAO
NGAZI WALIOKUWA WAKITUMIA ABIRIA WA MELI YA FATIH ILIYOZAMA KATIKA BANDARI YA MALINDI IKITOKEA DAE-ES-SALAAM IKIONEKANA BAADA YA MELI HIYO KUZAMA BANDARINI HAPO JANA 29-5-2009

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.