Habari za Punde

NA MSHINDI NI...

WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WAKISHANGILIA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI ASHA MOHAMMED HILAL AMESHINDA KWA KURA 2864, KATIKA UKUMBI WA SKULI YA MWANAKWEREKWE C.
AFISA WA TUME YA UCHAGUZI WILAYA YA MAGHARIBI AKITANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI, KATIKA UKUMBI WA SKULI YA MWANAKWEREKWE C , MGOMBEA WA CCM ASHA MOHAMMED HILAL AMESHINDA KATIKA UCHAGUZI HUO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.