Habari za Punde

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MHE. CLEOPA DAVID MSUYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa  aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo alipohani msiba wa  aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, alipohani msiba huo, Upanga jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipohani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.