Habari za Punde

MAJUMLISHO NA MAJUMUISHO KATIKA UCHAGUZI MDOGO - MAGOGONI

MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ABDALLAH MWINYI KHAMIS (KUSHOTO) HAMADI ALI HAMADI MGOMBEA WA CUF NA ASHA MOHAMMED HILAL CCM WAKISIKILIZA MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI KATIKA SKULI YA MWANAKWEREKWE C.
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WAKATI WA KUJUMLISHA KURA ZOTE ZA VITUO VYA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI
MAWAKALA NA WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA KUJUMLISHIA KURA ZA VITUO VYOTE VYA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MAGOGONI SKULI YA SEKONDARI YA MWANAKWEREKWE C.
MASANDUKU YA KUPIGIA KURA YAKIONDOLEWA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA BAADA YA KUHESABIWA KITUONI HAPO
WAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI WAKIANDIKA MATOKEO YA KITUO CHA SKULI YA KINUNI

MNAONA HII KURA YA FULANI NDIVYO INAONEKANA AKISEMA MHESABU KURA AKIWAONESHA MAWAKALA WA VYAMA
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KUWEKA HALI YA USALAMA KATIKA MAENEO YA VITUO
KAZI YA KUHESABU ILIVYOANZA NA KUWA NA ULINZI KAMA UNAVYOONEKANA WADAU

MAKARANI WA UCHAGUZI WAKIHESABU KURA KATIKA KITUO CHA SKULI YA KINUNI

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA KITUO CHA SKULI YA KINUNI WAKIFUATILIA UHESABUJI WA KURA KATIKA KITUO HICHO AKIWEMO MTOTO WA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DK. SALMIN AMOUR JUMA, AMINI SALMIN MWENYE KOFIA KUSHOTO

MGOMBEA KWA NAFASI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF HAMADI ALI HAMADI AKIWEKA KUMBUKUMBU YAKE WAKATI WA KUHESABU KURA KATIKA KITUO CHA SKULI YA KINUNI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ANAELEKEA KUSEMA MNAONA HIVI NAWEKA SILDI (SEALED) SAWA KWA MAWAKALA

MAMBO YA UCHAGUZI HAYO KUWEKA SILDI KATIKA MASANDUKU YA KURA NA MAWAKALA KUSHUHUDIA

MWANANCHI AKITUMIA HAKI YAKE YA KUMCHAGUA MTU AMTAKAYE KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI KATIKA KITUO CHA SKULI YA WELEZO

KARANI WA KITUO NAMBA MOJA CHA SKULI YA KINUNI AKIWEKA SILDI SANDUKU LA KURA BAADA YA KUFIKA SAA YA KUFUNGA KITUO SAA 11.OO JIONI
AFISA WA UCHAGUZI WILAYA YA MAGHARIBI KHAMIS MUSSA AKITOWA MAELEKEZO KWA WAANGALIZI WA UCHAGUZI WA VYAMA VINAVYOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI. SKULI YA KINUNI
MGOMBEA UWAKILISHI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ASHA MOHAMMED HILAL AKIFUATILIA HALI YA UPIGAJI KURA KATIKA VITUO VYA UCHAGUZI AKIWA KATIKA SKULI YA WELEZO
NAIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA RAJAB BARAKA AKITEMBELEA VITUO VYA KUPIGIA KURA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.