Rais wa Jamhuri ya
Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima
lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo akisaini kitabu cha Wageni Maalum mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
No comments:
Post a Comment