Habari za Punde

ULINZI. WAANGALIZI NA MSAADA PIA ULIKUWEPO KWENYE UCHAGUZI MDOGO

ASKARI POLISI WAKIHAKIKISHA HALI YA UTULIVU KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA
WAANGALIZI WA UCHAGUZI WAKIFUATILIA KWA MAKINI UPIGAJI WA KURA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA JIMBO LA MAGOGONI

NA MIMI NINAYO HAKI YA KUTUMIA DEMOKRASIA YANGU KUPIGA KURA NDIVYO INAVYOELEKEA KUSEMA MAMA HUYU AKLISAIDIWA KUINGIA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA VIJANA WA MSALABA MWEKUNDI WAKIWA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA KUTOA MSAADA KUKITOKEA DHARURA

MPIGA KURA AKIWEKWA WINO MAALUM BAADA YA KUPIGA KURA YAKE

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI MUANGALIZI WA KIMATAIFA AKIFUATILIA UPIGAJI WA KURA KATIKA KITUO CHA KINUNI SKULI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.