Habari za Punde

MASUPER STAA WA KESHO



Niliwanasa katika mechi kali ya wapinzani wawili kati ya Rio na ya pili jina kidogo limenitoka katika uwanja wa kimataifa Mwembe Matarumbeta.
Tutarajie kupata kina Ronaldo na Ronaldinho hapo watakaotuwakilisha siku chache zijazo inshaAllah.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.