Habari za Punde

MITAA YA KISIMAMAJONGOO

KUNA MCHIZI MMOJA ( KWA WENYEJI WA SEHEMU HII WANAWEZA KUTUPA JINA) KAZI YAKE NI KURUSHA CHUPA NA GALONI ZA PLASTIKI KWENYE NYUMBA UNAYOITAZAMA NA KILA JAMAA WAKIJARIBU KUYAPUNGUZA YEYE NDIO KWANZA HUYAONGEZA KWA KUYAJAZA KWENYE PAA. MCHIZI AMESHINDA NA WENYE NYUMBA WAMESALIMU AMRI KWA KUKUBALI YAISHE, SASA YAKIWEKWA HUWA WANATAZAMA...

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.