TANAPA YATUNUKIWA TUZO YA JUU ULAYA KWA MARA YA SITA MFULULIZO
-
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetunukiwa tuzo ya hadhi ya juu kwa
mara ya sita mfululizo iitwayo European Quality Choice Diamond ya mwaka
2025 k...
2 hours ago
Hili ndilo tatizo letu sisi waafrika huwa hatuna plan mambo yetu ni ya kukurupuka tu, kama barabara hii tangu mwanzo ilikusudiwa kufanywa njia mbili kwa nini isiwepo plan ya kuigawa kati tangu wakati inajengwa? na hii ingeepusha usumbufu kwa mafundi na watumiaji wa barabara hii pamoja na kupunguza gharama kwa serikali, maana barabara imeshajengwa na sasa hivi sasa watu wanakurupuka na kuanza kuchimba ili kuigawa kati, mambo kama haya kwa kweli tutafika?
ReplyDelete