Habari za Punde

WAUMINI WA DINI YA KIISLAM ZANZIBAR WAKIANDAMANA KUPINGA KUVUNJWA MINARA YA MISIKITI .

ASKARI WAKIHAKIKISHA USALAMA WAKATI WA MAANDAMANO YA KUPINGA KUVUNJWA KWA MINARA YA MISIKITI.


WANAWAKE WA KIISLAM WAKIWA KATIKA MAANDAMANO WAKIPITA MITAA YA MLANDEGE KUELEKEA VIWANJA VYA LUMUMBA.


WAUMINI YA DINI YA KIISLAM WAKIWA NA BASKELI ZAO WAKIWA KATIKA MAANDAMANO YA KUPINGA KUVUNJWA KWA MINARA YA MISIKITI ULAYA.



WAKIWA NA BANGO LAO WAKIELEKEA KATIKA VIWANJA VYA LUMUMBA KWA AJILI YA MKUTANO WA WAUMINI WA KUPINGA KUVUNJWA KWA MINARA YA MISIKITI ULAYA.




WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKIWA KATIKA MAANDAMANO KUELEKEA UWANJA WA LUMUMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.