Habari za Punde

KUTOLEWA KWA GHANA KOMBE LA DUNIA - HAKI IMETENDEKA?

Kwa waliobahatika kuangalia pambano la robo fainali kati ya Ghana na Uruguay tunaomba maoni yenu kama sheria zilizopo za kandanda zinatenda haki.
Sote tulimuona Suarez akipangua kichwa kilichoonekana kuwa ni goli kwa mikono yake na hatimaye kuzaa penelti ambayo Asamoah alikosa.
Suala kwa nini sheria iwe ni adhabu ya red card na penelti?
Mimi noana kama mpira unaelekea golini basi lihesabike kama ni goli na kisha adhabu ya red card ibakie pale pale na isiwe ni penelti.
Tulimuona Suarez alivyofurahi baada ya Asamoah kukosa penelti na hivyo hakujutia kwa tendo lake kwani badala y kuwa la majuto limekuwa la kishujaa.
Mnaonje wadau wa soka?

1 comment:

  1. Hio sjeria ya sasa naona ndio muafaka na ibaki kua hivyo, tatizo lililofanyika kwa Ghana ni uzembe ambao ulifanywa na nahodha wa timu Mensah, haiwezekani mtu mzima mwenye nguvu zako ukapige penaltya kipumbavu kama ile na kama mm ndio rais wa nchi lazima nimpe adhabu Mensah.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.