BALOZI DK.NCHIMBI AMWAKILISHA RAIS SAMIA KUMUAGA HAYATI SONGAMBELE MKOANI
RUVUMA
-
Na Mwandishi Wetu,Songea
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi, amemwakilisha Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa ,D...
5 hours ago
Kwa sisi tuliokulia Unguja Mjini tutakupa mji. Ninaguess kuwa hii ni barabara iliyotokea fuoni kuelekea Kae lakini sina hakika ni wapi?
ReplyDeleteMdau
USA
Hapa mzee hii barabara moja inatokea mjini na ni karibu na kikungwi, barabara moja ilioelekea mkono wa kuli inaelekea unguja ukuu pamoja na uzi hii inayoendelea inaelekea makunduchi kupitia Unguja ukuu kaibona, na hii ya kushoto nimesahau inaelekea wapi
ReplyDelete@ ommy uko sahihi ila nakusaidia tu kua ya kushoto inaelekea chejuu haha tumeagua
ReplyDeleteAhsanteni kwa kuagua inaonesha bado kumbukumbu iko fresh.
ReplyDeleteTunawashukuru wote waliojaribu.
Tutawaletea nyengine karibuni.
kijana hiyo sehemu hairuhusiwi kupigwa picha ni eneo la majeshi wanaporipua mabomu ni eneoambalo hawaruhusiwi watu kujenga ua kupita kwenye pori hilo samahani kwausumbufu
ReplyDeleteNadhani maoni ya anonymous kwamba hii sehemu hairuhusiwi kupigwa picha kwani ni eneo la majeshi ni muhimu.
ReplyDeleteIla suala linakuja kuna alama yoyote inayoashiria hivyo? Maana njia hii njia ya kuelekea hoteli za kitalii ambapo watalii wengi hupita na wao pia wanaweza kupiga picha.
Suala jengine jee ni eneo lipi hasa lililokatazwa?
Upande wa kulia wa bara bara ambapo ndipo tunapofahamu kwamba ni eneo la mazoezi au sehemu hii ya barabara kwenye makutano ya njia??
Wenye data tuelimisheni
hiyo sehemu ya kuliya kwenye kibanda niliomba kipora wahusika wakanihabarisha ni mali ya jeshi tulijaribu kuingiya ndani tukawakuta wenyewe wamelala kwenye vipori ilikuwa habari nene kwabahati tulijitetea kama tumetumwa na mzee yakaisha lakini hata munipe pesa sikanyagi eneo hilo tulikuwa na kamera wakaichukuwa na kutusachi
ReplyDelete