Habari za Punde

UNALIKUMBUKA ENEO HILI MDAU WANGU?


NI MOJAWAPO SEHEMU ALMAARUFU HAPA ZENJ. JE UNAPAKUMBUKA HAPA?. KAZI KWAKO.

3 comments:

  1. hii ni bwawani pool lakini naona kumechoka kinoma

    ReplyDelete
  2. Ni kweli hapa ni bwawa la hoteli ya bwawani lakini inasikitisha kupaona pako hivyo. Iko haja serikali au watu binafsi wapaendeleze hapo mahali. Zamani nakumbuka kulikuwa na theory kwamba hilo bwawa haliwi kwa kuwa hapo palivunjwa msikitini. Kuna watu wanadai kuwa kila maji yakitiwa kwenye bwawa yanavuja. Sijui kama kuna ukweli.

    ReplyDelete
  3. hiyo ni sehemu wanapojisaidiya wakojani na wavuvi wengine kwenda haja kubwa ndiyo mana ikaitwa bwani mbovu nakuhusu msikiti mabuluu haujakuepo eneo hili sehemu ulipovunjwa msikiti umeshajengwa na comandoo tena mzuri kuliko uliovunjwa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.