NI MOJAWAPO SEHEMU ALMAARUFU HAPA ZENJ. JE UNAPAKUMBUKA HAPA?. KAZI KWAKO.
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA KAWE KUREJEA KAZINI HARAKA
-
*Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza leo
Septemba 16, 2025, wakati wa ziara yake ya kukagua athari za moto uliotokea
alfaji...
3 hours ago
hii ni bwawani pool lakini naona kumechoka kinoma
ReplyDeleteNi kweli hapa ni bwawa la hoteli ya bwawani lakini inasikitisha kupaona pako hivyo. Iko haja serikali au watu binafsi wapaendeleze hapo mahali. Zamani nakumbuka kulikuwa na theory kwamba hilo bwawa haliwi kwa kuwa hapo palivunjwa msikitini. Kuna watu wanadai kuwa kila maji yakitiwa kwenye bwawa yanavuja. Sijui kama kuna ukweli.
ReplyDeletehiyo ni sehemu wanapojisaidiya wakojani na wavuvi wengine kwenda haja kubwa ndiyo mana ikaitwa bwani mbovu nakuhusu msikiti mabuluu haujakuepo eneo hili sehemu ulipovunjwa msikiti umeshajengwa na comandoo tena mzuri kuliko uliovunjwa
ReplyDelete