
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Aboud Jumbe Mwinyi, alipokifungua kiwanja cha kufurahishia watoto cha Uhuru kilichopo Kariakoo mwaka 1976 akiambatana na Waziri kiongozi Ramadhan Haji Faki wakikagua moja ya vigari vya watoto vilivyokuwa vya aina yake wakati huo

Pembea zilikuwa kwa ajili ya watoto lakini hata watu wazima kipindi hicho waliamua na kufaidi "ureda" kama wakionekana kwenye picha. Naam sikukuu siku hizo ilikuwa raha tu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Aboud Jumbe Mwinyi akipanda moja ya ndege zilizokuwepo katika uwanja huo.
Picha kwa hisani ya Mdau.
No comments:
Post a Comment