vituo vya Afya vinavyoendelea kujengwa katika Visiwa vya Unguja na Pemba
vitasaidia kuimarisha huduma za Afya -Mazrui
-
Na.Omar Abdallah -Wizara ya Afya.
WAZIRI wa Afya Zanzibar *Nassor Ahmed Mazrui* amesema vituo vya Afya
vinavyoendelea kujengwa katika Visiwa vya Unguja ...
5 minutes ago
@Mapara,
ReplyDeleteHaki ya Mungu hii picha imenishughulisha, nilituwa naitafuta Rahaleo ipi mbona hapaelekei? Mpaka nilipoikuza picha inakugundua kuna mabadiliko fulani hivi, hii Round about hapo siikumbuki vizuri itakuwa mpya...kama eneo la Rahaleo lenyewe ni mkabala wa makutano ya barabara inayotoka kwa Bi Ziredi kuja Kariakooo, kulia kwake kuna Skuli ya Mw'shauri na mbele yeke kuna kariakoo, huku ukipinda kushoto unaelekea posta na kulia unaelekea Michenzani. Natumai sijakosea. Naimiss zanzibar kweli.
Mdau Misri
Kama hujaja zamani huwezi kuikumbuka imeongezwa Raundi about nyengine pale sasa ziko mbili kwani ilikuwa usumbufu baadhi ya magari yanayotoka Posta kupinda kuelekea Biziredi.
ReplyDeleteAhsante Mdau