
Mgombea Urais Zanzibar kupitia tiketi ya NRA Khamis Haji akizungumza jana wakati alipozindua kampeni za chama chake kwenye viwanja vya Mabata hapo Magogoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Chama cha NRA ni mojawapo wa vyama vilivyosimamisha mgombea Urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 31.
No comments:
Post a Comment